Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano

(TCRA-CCC)

Dira na Dhamira

DIRA YA BARAZA

Kuwa chombo imara na cha kutegemewa katika kutetea haki na maslahi ya watumiaji wa huduma na bidhaa za mawasiliano pamoja na kuleta maelewano miongoni mwa wadau wa sekta ya mawasiliano.

DHAMIRA YA BARAZA

Kujenga mtandao imara wa kuhamasisha na kuelimisha watumiaji juu ya haki na wajibu wa ikiwa ni pamoja na kutengeneza mazingira mazuri ya kufanya mashauriano na wadau mbali mbali wa sekta ya mawasiliano