Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano

(TCRA-CCC)

Zingatia!!

  • Weka utaratibu wa kuangalaia vipindi vya televisheni na radio
  • Watoto wasiruhusiwe kuangalia vipindi vyenye mambo ya kikubwa, utumiaji wa nguvu na lugha kali na mauaji.
  • Weka neno la siri katika king’amuzi kuzuia watoto wasiangalie vipindi vya wakubwa