News
Consumer Education and Advocacy Seminar in Tabora Region
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA CCC) hivi karibuni liliendesha Mkutano wa Elimu na Uhamasishaji kwa makundi mbalimbali ya jamii Mkoani Tabora. Lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea watumiaji uwezo wa kutambua haki na wajibu wao pamoja na fursa zilizoko katika sekta kwa lengo la kujiletea maendeleo. Kwa taarifa zaidi bofya HAPA