Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano

(TCRA-CCC)

Habari

Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari 2021/2022

Imewekwa : 20th May 2021

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari awasilisha Bungeni hotuba yake ya bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022


TAARIFA KWA UMMA

Imewekwa : 4th Feb 2021

TCRA inaanzisha mashauriano ya umma ili kukaribisha maoni kutoka kwa watumiaji na wadau kuhusu kuweka mfumo muafaka wa kusimamia uwekaji wa vifurushi vya huduma za mawasiliano ya simu zinavyotolewa hivi sasa na gharama zinazoambatana navyo (gharama na tozo za vifurushi).


TAARIFA KWA UMMA

Imewekwa : 2nd Jul 2020

TAARIFA MUHIMU KWA WATUMIAJI KUHUSU UMILIKI WA LAINI MOJA KWA MTANDAO MMOJA WA SIMU


Baraza laanzisha Kamati mpya ya Watumiaji Kusini Pemba

Imewekwa : 5th Dec 2019

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA CCC), katika kutekeleza moja ya majukumu yake ya kisheria limeanzisha kamati mpya ya watumiaji wa huduma za Mawasiliano katika mkoa wa Kusini Pemba.


Taarifa kwa Watumiaji wa Huduma za Simu

Imewekwa : 25th Apr 2019

Taarifa kwa Watumiaji wa Huduma za Simu.