Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

TCRA Consumer Consultative Council (TCRA-CCC)

Corporate logo

News

USIKOSE KUFUATILIA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA HABARI MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI 2023/2024


Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari inatarajia kuwasilisha Hotuba ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2023/2024 ambayo itasomwa Bungeni na Mhe. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye. Pamoja na mambo mengine Mhe. Waziri ataeleza kuhusu utekelezaji wa bajeti na shughuli za Wizara na Taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2022/2023 na Makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024

Usikose.